VASELINE GLUTA GLOW LOTION
Aug 1st, 2024 at 23:18 Beauty and hygiene Dar es Salaam 122 views Reference: 311 Tsh
Location: Dar es Salaam
Price: 11 Tsh
VASELINE GLUTA GLOW LOTION
Inamchanganyiko wa Gluta na Niacinamide
inalainisha ngozi na kuifanya iwe na unyevunyevu muda wote
inang'arisha ngozi kila unavozidi kutumia
inarepair rough skin na kuipa afya na kuifanya iwe na muonekano mzuri wa kuvutia
spf (sun protection factor (hichi ni kiambata kinachotumika kuzuia mionzi ya jua isiharibu ngozi)
My favorite body lotion!!